Kocha wa Klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti aingia uwanjani na kumtoa fowadi wake Vinicius Jr
Kocha wa Klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti alingia uwanjani na kumtoa fowadi wake Vinicius Jr ili asipoteze muda. Mara nyingi wachezaji huwa na tabia...
RASHIDABDALLA SUPERCUP : GREEN BOYS YAFUZU KWENYE MICHUANO YA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAKAZA KWALE UNITED
Timu ya Green boys kutoka maeneo ya Mwananyamala leo alasiri imeweza kuichakaza Kwale United kutoka Kwale mjini baada ya kuitandika mabao 3 -1 bila huruma...
Raia wa Chad ambaye aliyemlaghai Seneta wa Tana River, Danson Mungatana, Shilingi Milioni 76 katika dili ghushi ya mafuta ameondolewa mashtaka.
Seneta wa Tana River Danson Mungatana apoteza ombi la kumtaka, Chadian Abdoulaye Tamba kufungwa jela kwa kumlaghai Ksh 76M. Mahakama imemwachilia huru raia wa Chad...