HARMONIZE APIGA STOP SHOO SIERRA LEONE KISA MPENZI WAKE KAKOSA VISA.
Staa wa Bongofleva Harmonize amechukua uamuzi wa kusogeza mbele show yake aliyopaswa kuifanya siku ya Valentines Februari 14, 2024 huko nchini Sierra Leone. Harmonize ametaja...
NYANDA WA KWANZA KUPANGUA MIKWAJU NNE YA PELNATI KWENYE AFCON
Baada ya kupangua penalti nne (4) na kuivusha Afrika Kusini kwenda hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika 2023, nyanda wa...
Nahodha Wa Cameroon Vincent Aboubakar Arejea Kikosini
Nahodha wa timu ya Taifa ya Cameroon, Vincent Aboubakar ameanza mazoezi katika kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon kwa ajili ya kujiandaa na mechi...
Wimbo Mpya Wa Mr. Blue Mapoz Akimshirikisha Diamond Platnumz & Jay Melody
Mapozi ni wimbo wa Mr Blue ambao ulitoka miaka 16 iliyopita, chini ya kiwanda cha G.Records zilipozalishwa hit kibao. Wakali wa tatu, Mr. Blue, Diamond...
OMAR BERRADA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MANCHESTER UNITED
Man Utd imemteua aliyekuwa CEO wa Man City, Omar Berrada na kumfanya kuwa mtendaji wao mkuu mpya; Berrada anamrithi Richard Arnold aliyebwaga manyanga baada ujio...
MR NICE, A MAN OF MANY FIRSTS
BONGO Flava kama majira, uvumbuzi na uasisi ni asubuhi, jua la utosi lilipowadia, vipaji kibwena vili-disturb mitaa. Wakati huo sasa, pini “Friday Night” lilipikwa Mawingu...