Uingereza Kwachacha! Arsenal, Man City Wanusia Kombe
Kinyang'anyiro cha kuwania taji la Premier League kinaelekea ukingoni huku ikiwa nguzu zaidi kwa watabiri wa mpira wa kandanda kubaini washindi kati ya Arsenal, Manchester...
Mamelodi Sundowns Wafuzu Kwa Nusu Fainali Ya CAF Baada Ya Kuibwaga Yanga SC [3] 0-0 [2]
Young Africans wameondolewa kwenye michuano ya CAF Champions League. Mamelodi Sundowns wamefuzu kwa Nusu Fainali. Mamelodi Sundowns yatinga nusu fainali ya michuano ya Caf Champions...
TOTTENHAM WAKWEA JEDWALI KWA MDA VIJANA WA UNAI EMERY WAKIDAI NAFASI YAO
Bao la dakika za lala salama la Son Heung-min liliiinua klabu ya Tottenham dhidi ya Luton 2-1 katika Ligi Kuu ya Uingereza Jumamosi na kuendeleza...
HAKUNA MAPUMZIKO KWA WANACHELSEA, WATOKA SARE NA BURNLEY.
Huenda masaibu na majonzi ya wanachelsea yakaendelea baada sare ya 2-2 dhidi ya klabu ya Burnley. Wachezaji kumi Burnley walijizatiti kwa mtindo wa kuvutia na...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Awapongeza Simba
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Aipongeza klabu ya Simba kwa kufuzu kwa robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika. “Hongereni sana Klabu ya Simba...
Arsenal Waeka Akiba Ya Mabao
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta anafahamu wazi kwamba kikosi chake ni lazima kifunge mabao ya kutosha kwa sababu ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu...