Ombaomba tajiri zaidi duniani Bharat Jain ana thamani ya Sh184,405,062.40.
Mwanaume mmoja huko nchini India, Bharat Jain, amejipatia dola 890,708 kwa kuhangaika mitaani. Sasa anaitwa "Ombaomba Tajiri Zaidi Duniani" Licha ya mwanzo wake duni, Bharat...