Alvin Ngoto Mshambulizi wa Mwatate FC Almaarufu kama Mentai ajiunga na Bandari FC.
Mshambulizi wa Mwatate United FC Alvin Ngoto almaarufu Mentai amesaini mkataba wa miaka miwili na Bandari FC.Mshambulizi huyo hatari alifunga mabao 17 katika msimu uliopita...
Jinsi Wasanii walivyopokea Mirabaha nchini Tanzania
Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (Cosota) imegawa mirabaha kwa wasanii nchini, hawa ni wasanii wa Bongofleva waliopata fedha nyingi zaidi. Kuanzia mwakani mirabaha itakusanywa na wasanii...
PSG Mbrazil Neymar Jr na mpenzi wake Bruna Biancardi wazua gumzo mtandaoni
Supa Star wa klabu ya PSG Mbrazil Neymar Jr na mpenzi wake Bruna Biancardi wamezua gumzo mtandaoni mara baada ya kuchapisha picha ya pamoja wakionyesha...
“FAMILIA INA WATOTO KIBAO NIANDIKE MALI ZANGU JINA LA MAMA, SIFANYI UJINGA WA HAKIMI” – BABALEVO
Mwanamitandao na msanii BabaLevo ameibuka na kuwashangaa wanaume wanaomuiga mchezaji Hakimi ambaye anatrend kwa kumuandikisha mama yake mzazi mali zake zote na si mkewe ambapo...
Hakuna Wimbo Umeniingizia Hela Nyingi Kushinda Wimbo Wa “Nakupenda” Jay Melody
Star wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Jay Melody amesema mpaka sasa wimbo wake wa "Nakupenda" umemuingizia zaidi ya Shilingi mlioni (200) za Kitanzania na...
“NAENDA KAMA HAKIMI” MARIOO
Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Marioo amepost picha akiwa na Paula na kuandika "Naenda Kama Hakimi" Unadhani ana maana gani?