Vanny Boy aweka historia baada ya kuwa Mwafrika wa kwanza kuteuliwa katika tuzo maarufu za Uhispania
Mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Tanzania Raymond Shaban Mwakyusa maarufu kwa jina la Vanny Boy ameweka historia baada ya kuwa Mwafrika wa kwanza kuteuliwa...
RHYNO : HATUWEZI KUTAJA UGONJWA UNAOMSUMBUA PROFESA JAY NI JAMBO LA FARAGHA
Black Rhyno ambaye ni Msemaji wa Familia ya Profesa Jay amesema hawawezi kutaja ugonjwa unaomsumbua Profesa Jay kama wengi wanavyotamani kufahamu kwani ugonjwa ni jambo...
Harmonize amfanya Kajala kuwa CEO na Meneja Wa KondeGang
Msanii Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefanya marekebisho kwa uongozi wa lebo yake ya muziki ya konde music worldwide ili kumwezesha mpenzi wake Frida...
?????? ????? ????? ???? ???? ?????????? ?????? ???? ?? ??????
https://youtu.be/2Bng2m-d9kY
Wimbo Wa ‘Mtasubiri’ Wa Diamond Na Zuchu Wapigwa Marufuku Tanzania
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) iliipiga marufuku video ya Diamond aliyomshirikisha Zuchu ya "Mtasubiri" kufuatia malalamishi ya baadhi ya waumini wa madhebehu ya dini...
Rajab Abdul Kahali, almaarufu Harmonize Atiwa Mbaroni jijini Naironi kwa madai ya kujipatia pesa kwa njia ya uwongo.
Mkurugenzi wa klabu ya Nairobi anataka mwimbaji wa Tanzania Harmonize kurejesha pesa ambazo wateja wake walilipa kwa ajili ya tamasha lililofanyika Jumamosi usiku. Mkurugenzi wa...