Mucho Mangoes Yachaguliwa Kwenye Mpango wa Biashara kati ya Kenya na Ujerumani
Kampuni ya Kenya ya Mucho Mangoes Ltd imechaguliwa miongoni mwa kampuni 21 za nchini zitakazoshiriki katika mpango wa Partnering in Business with Germany, unaolenga kuimarisha...
Dangote Asema Yuko Tayari Kukabiliana na Kesi ya Mradi wa Kiwanda Lamu
Bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote, amesema yuko tayari kukabiliana na kesi ya kisheria inayopinga ujenzi wa kiwanda chake cha kusafisha mafuta kinachokadiriwa kugharimu KSh trilioni...
Dangote Awasili Lamu kwa Uzinduzi wa Mradi wa Kiwanda cha Kusafisha Mafuta
Mfanyabiashara na mwekezaji bilionea kutoka Nigeria, Aliko Dangote, amewasili Lamu kuelekea hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta...
Mahakama Yaweka Masharti kwa Mradi wa Dangote Refinery Lamu
Mahakama ya Mazingira na Ardhi ya Malindi imekataa ombi la kusimamisha uzinduzi na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kinachopangwa kujengwa Lamu, lakini...
Kenya Yapewa Leseni ya Kutengeneza Dawa Mpya ya Kuzuia VVU
Kenya imepewa leseni ya kutengeneza dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa ajili ya soko la Afrika, hatua inayoiweka nchini humo...
Tigst Assefa Kufanyiwa Upasuaji wa Dharura Baada ya Kuumia Berlin Marathon
Nyota wa mbio za marathon kutoka Ethiopia, Tigst Assefa, anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa dharura mjini Munich, Ujerumani, baada ya kupata jeraha la kano katika mguu...