Omanyala, Faith Chepng’etich Kipyegon washinda tuzo za wanariadha bora mwaka wa 2021
Wanariadha Faith Chepng'etich Kipyegon na Fednand Omanyala ndio washindi wa wanariadha bora nchini mwaka wa 2021 kwenye masindano ya Soya yaliyoandaliwa mjini Kakamega. Umaarufu wa...
Jeshi la Burkina Faso limesema limemuondoa madarakani Rais Kabore, kusimamisha katiba, kuvunja serikali na kufunga mipaka.
Jeshi la Burkina Faso limechukua uskani wa nchi siku ya Jumatatu, na kumuondoa madarakani Rais Roch Kabore, kuvunja serikali na bunge, kusimamisha katiba na kufunga...
Takriban watu 6 wamefariki katika mkanyagano jioni ya leo nje ya uwanja wa mchezo kati ya Cameroon na Comoros.
Takriban watu 6 wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa baada ya kukanyagana nje ya uwanja wakati wa mechi kati ya Cameroon na Comoro kwenye mashindano ya...
Mwanahabari Hussein Mohammed ameteulia Mkuu wa Mawasiliano katika Kampeni ya Urais ya William Ruto.
Aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha runinga cha Citizen Hussein Mohammed ameteuliwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano katika Kampeni ya Urais ya Naibu Rais William...
DCI Arrest Jeremiah Mwavuganga Samuel for publishing fake information on facebook account
DCI arrest a male teacher who authored a Facebook post using a fake account purporting to be that of the Teachers Service Commission & alleging...
Arsenal Yapokea Kichapo Cha Liverpool, Yatingwa mabao 2-0
Timu ya Arsenal ilipokea kichapo kutoka kwa timu ya Liverpool baada ya kupigwa mabao mawili kwa sufuri kwenye Ligi ya Soka ya kuwania kombe la...