Serem, Kibiwot na Koech wafuzu fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji
Amos Serem, Abraham Kibiwot na Simon Koech wamefuzu fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji kwenye Olimpiki ya Paris 2024 Jumatatu usiku. Serem nusura...
Noah Lyles ndiye bingwa mpya kwenye mita 100
Noah Lyles wa Marekani ndiye bingwa mpya kwenye mita 100 kwa wanaume katika Olimpiki ya Paris 2024 Jumapili usiku. Lyles alianza vizuri mbio hiyo lakini...
Mary Moraa anyakua medali ya shaba katika mbio za mita 800
Mary Moraa ambaye alikuwa Mkenya pekee katika fainali ya mita 800 kwa wanawake aliibuka wa tatu na kunyakua medali ya shaba katika Olimpiki ya Paris...
Faith Kipyegon’s silver medal reinstated in 5000m after appeal, Athletics Kenya says
Faith Kipyegon has been reinstated as the silver medallist in the women’s 5000m. Her controversial disqualification has been rightly overturned, meaning Sifan Hassan will now...
Faith Kipyegon disqualified for shoving Ethiopia’s Gudaf Tsegay in the 5000m final. She loses her silver
Kenyan 5000m Olympic Silver winner Faith Kipyegon has been disqualified due to indiscipline during the finals race against Ethiopian Gudaf Tsegay. Sad news for Kenyans...
Mary Moraa settles for Bronze
Kenyan Mary Moraa Wins Bronze in Women's 800M Third medal for team Kenya at the Paris 2024 Olympics