Timu ya Gambia yaishinda Tunisia dakika za mwisho, Huku Mali wakilemea Mauritania mabao 2 kwa nunge – AFCON

Share this story

Timu ya Gambia leo imeishinda Tunisia dakika za mwisho, Mechezaji Ablie Jallow aliweza kutinga bao hilo dakika ya tatu ya zaida kipindi cha pili baada ya Farouk Ben kuonyeshwa kadi nyekundu.

Mali iliweza kuiadhibu timu Mauritania mabao 2 kwa nunge yaliyofungwa na Masaddio Haidara dakika ya pili, kipindi cha kwanza, na Ibrahima Kone dakika ya 49 kupitia mkwaju wa penalti. Mali imefuzu kuingia kwa hatua ya 16 ya mtoano


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post BURUDANI VIDEO IKO JIKONI, Mko tayari kwa kilipuzi? – Mlolwe Classic .
Next post Arsenal Yapokea Kichapo Cha Liverpool, Yatingwa mabao 2-0