Shabiki wa Liverpool Apigwa Marufuku Ya Uwanja Kisa Ubaguzi Wa Rangi

Share this story

Mwanaume aliyekamatwa kwa tuhuma za kumtolea maneno ya kibaguzi Antoine Semenyo amepigwa marufuku kuingia kwenye viwanja vyote vya soka nchini Uingereza kama sehemu ya masharti ya dhamana yake.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Putin landed in the United States for the first time in years
Next post MADAGASCAR wanatinga Nusu Fainali CHAN 2024