
Rayvany Kaweka Album Ya Harmonize #VisitBongo Badala Ya Yakutoa Nyimbo Zake 5 Kama Alivyoahidi
Rayvany alikuwa ameahidi kutoa nyimbo zake 5 siku ya jana ila hakufanya hivyo.
Alichokifanya ni kueka Instastory Album ya Harmonize #visitbongo badala yake kutoa nyimbo hizo.
Rayvany akusema chochote kuhusiana na nyimbo zake hizo.
Baadhi ya mashabiki walimfuata Instagram kwenye comment kumuitwa muongo kwa kuwadanganya.