RASMI: Endrick atavaa jezi namba katika kikosi cha Real Madrid!
Endrick anayechukuliwa kama miongoni mwa vipaji bora vinavyokuja duniani, sasa atabeba jukumu kubwa la kuendeleza rekodi ya magwiji waliowahi kuvaa namba hii kwenye Los Blancos.
9️⃣ @Endrick pic.twitter.com/lKKKk2cjZ2
— Real Madrid C.F. (@realmadrid) August 8, 2025