Mzee Savalanga Ajitosa Kwa Siasa Kuwania Kiti Cha Usenata TaitaTaveta.

Share this story

Steven Sakeka Njumwa alimaarufu Mzee Savalanga ajitosa kwa Siasa kuwania kiti cha usenata kaunti ya TaitaTaveta.

Mzee Savalanga aliwahi kuwa mfanyikazi wa kauti ya TaitaTaveta na sasa anawania kiti hicho cha Usenetor. Anatarajiwa kusimama na chama cha UDA. Na endapo atashinda kura ya mchujo basi atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa Johnes Mwashushe Mwaruma wa ODM na mwenye amekalia kiti hicho kwa sasa.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post ??? ???? ?????? ??????????? ???? ???????? ??????, ???????? ?? ???? ??? ??????? ??????????? ??????, ?? ?????? ?? ??????
Next post MSANII NASHPAI ALIYEWAHI KUWA SHABIKI WA GAVANA ATOA NYIMBO AKIMKOSOA GAVANA. NINI KILITOKEA?