Masharti Ya Aziz K Kutumia Timu Ya Taifa Yote Kwa Ajili Ya Hamisa.

Share this story

Kwa mujibu wa Magazeti Nchini Burkina Faso 🇧🇫, Aziz K alitoa sharti la kusafiri na Mke wake Hamisa Mobeto kwenda kuitumikia Timu ya Taifa (Les Étalons) na alipiwe gharama zote za safari hadi Nchini Burkina Faso. Lakini Jambo ambalo lilikaliwa na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Burkina Faso, Brama Traoré.

Ikumbukwe kwamba Kocha Traoré alitangaza kikosi chake kwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 huku Aziz K hajaitwa. Timu ya Taifa ya Burkina Faso inajiandaa na mchezo dhidi ya Timu ya Taifa ya Djibouti 🇩🇯 Machi 21, na baadae itacheza dhidi ya Timu ya Taifa ya Guinea-Bissau 🇬🇼 Machi 24, 2025

Burkina Faso 🇧🇫 wapo nafasi ya 3 wakiwa na alama tano 5, katika kundi A linaloongozwa na Misri 🇪🇬 wenye alama 10.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Kiraitu Murungi Confesses to Plotting Kawira Mwangaza’s Ouster
Next post Harambee Stars Return Home After A 3-3 Draw Against Gambia