Lamine Yamal Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi.

Share this story

Staa wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania Lamine Yamal ameshinda tuzo ya Mchezaji bora Chipukizi (Kopa Trophy)

Lamine (17) ameweka rekodi kadhaa zikiwemo, Mchezaji mdogo kuichezea Hispania na kufunga goli akiwa na miaka 16 na siku 57, Mchezaji mdogo kufunga goli LaLiga, Euro na kutwaa Euro 2024.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Kipa Emiliano Martinez Ashinda Tena Golikipa Bora wa Dunia
Next post Suspect linked to murder of three Eastleigh women detained for 9 days