Harmonize Arushiwa Vijembe
Aliyekua Mpenzi wa Harmonize “JacklineWolper” kwenye moja ya video ambayo inasambaa mtandao ameonekana kumtupia dongo Harmonize kwa kudai kuwa star huyo alikuwa fukara.
“Nilienda kwao nililala chini tulitumia kibatari.”