From the spot to the spotlight! Allan Okello named Man of the Match!

Share this story

Chuma kinaitwa Allan Okello (25) kiufupi anajua sana mpira, sifa zake ni winga wa kulia asilia ambae anatumia zaidi mguu wa kushoto kuingia ndani. Ni ngumu sana ku-deal nae haswa ukiwa ni beki wa pembeni.
Msimu uliopita kwenye ligi ya Uganda alitwaa tuzo ya MVP bila kusahau alitwaa kiatu cha mfungaji bora.
Jamaa ni ana kimo kidogo ila anajua ball🔥


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Makau Mutua appointment to lead protest victims compensation team
Next post RASMI: Endrick atavaa jezi namba katika kikosi cha Real Madrid!