“FAMILIA INA WATOTO KIBAO NIANDIKE MALI ZANGU JINA LA MAMA, SIFANYI UJINGA WA HAKIMI” – BABALEVO
Mwanamitandao na msanii BabaLevo ameibuka na kuwashangaa wanaume wanaomuiga mchezaji Hakimi ambaye anatrend kwa kumuandikisha mama yake mzazi mali zake zote na si mkewe ambapo amefunguka haya
“Familia Ina Watoto Kibao Alafu Niandike Mali Zangu Jina la Mama..!? Sifanyi Ujinga Wa HAKIMI Never
Kwa mfumo Wa Familia Zetu Haiwezekani Kumuandika Mama Kwenye Mali Zako Maana Kwa Bahati Mbaya Akifariki Mali zako Zitakuwa Za Urithi..! Utapambana Na Kaka Zako Au Dada Zako Kwenye mgao Wa Mirathi”