“Naombeni Msamaha Nilikosea Kwa Kupiga YES” Mbunge Wa Taveta Mh. Bwire
Mbunge wa Taveta Mh. John Bwire amewaomba wakaazi wa Taveta msabaha kufuatia msimamo wake bungeni baada ya kuunga mkono mswada wa fedha wa mwaka wa...
TaitaTaveta Becomes The 3rd County To Ban Miraa
TaitaTaveta County government join other coast counties ni a populist move to ban use of miraa in the areas. Speaking on Sunday, the county’s Governor...
MWANAJESHI WA KDF ALIYEFARIKI BAADA YA GARI LAO KUKANYAGA KILIPUZI GARISA AZIKWA NYUMBANI KWAKE MWATATE
Mwili wa mwanajeshi wa KDF aliyefariki baada ya gari lao kukanyaga kilipuzi eneo la Garissa amezikwa nyumbani kwake Mwatate kaunti ya TaitaTaveta. Mkasa huo uliotokea...
GAVANA MWADIME ATAKA MGAO WA KAUNTI ZOTE KUONGEZWA.
Gavana wa kaunti ya TaitaTaveta Andrew mwadime aitaka serikali kuu kuongeza mgao wa kaunti zote ili kuwezesha maendeleo katika kaunti. Kulingana na gavana Mwadime kaunti...
Shule Ya Upili Ya St. Johns Mghange Yapokea Hundi Ya Shilingi Laki Nne Chini Ya Ufadhili Wa Wakujaa Foundation
St. Johns Mghange wapokea hundi ya shilingi laki nne chini ya ufadhili wa Wakujaa Foundation, hafla iliyoongozwa na Balozi wa taifa la Uchina hapa nchini...
SOKO LA KUUZA BIDHAA ZA UTAMADUNI KATIKA KAUNTI YA TAITATAVETA KUJENGWA, ASEMA WAZIRI WA UTALII.
Wizara ya Utalii nchini ipo katika harakati za kubaini vivutio zaidi na mbinu mbadala za kuvutia watalii ili kupiga jeki sekta hiyo kote nchini ....