Huduma Day : Wajumbe Wa Serikali Wafanya Kongamano La Vijana TaitaTaveta

Share this story

Naibu Waziri Shadrack Mwadime na wajumbe kutoka Serikali za Kitaifa na Kaunti walifanya Kongamano la Vijana la Taita Taveta 2024 katika Kaunti Ndogo ya Taveta.
Mkutano huo ulitumika kama jukwaa la kimkakati la kushirikiana na vijana juu ya maswala muhimu kama vile kuunda nafasi za kazi, ukuzaji wa uongozi, na uwezeshaji wa jamii. Kupitia mijadala yenye kujenga, waliunda mikakati endelevu inayolenga kutengeneza fursa zaidi kwa vijana katika eneo la TaitaTaveta.

Shirika la KPA, Huduma Kenya, NITA, NTSA, Youth Fund, Uwezo Fund, Taita Taveta University, Taveta TVC, National Employment Authority na mashirika mengine yalifika nakutoa nasaha kwa vijana wa Taveta.

Zoezi la usajili wa vyeti vya mwenendo mzuri, vyeti vya kuzaliwa, vitambulisho, pia zilifanyika hapo kwa hapo.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post President Ruto to Sign 250,000 Jobs Germany Deal Next Week
Next post Urusi : Rais Wa Urusi, Vladimir Putin Amuunga Mkono Kamala Harris’