Kaunti ya Kilifi yazindua kampeni ya afya mashinani
Serikali ya Kaunti ya Kilifi imezindua kampeni kali ya kufikia afya ya msingi inayolenga kupeleka huduma za matibabu mashinani.Wataalamu wa fani mbalimbali za matibabu na...
Kilifi County joins Mombasa County In Baning Muguka
Kilifi Governor Gideon Mung’aro on Friday imposed a ban on Muguka including its transportation, distribution, and sale. In a statement, the governor ordered the immediate closure of...
Serikali Ya Kaunti Ya Kilifi Yasambaza Mbegu Za Mahindi Na Mbolea Kwa Wakulima
Uongozi wa kaunti ya Kilifi ikiongozwa na Gavana Mung'aro imezindua rasmi mpango wa usambazaji wa mbegu za mahindi tani 66 na mbolea bila malipo, zikiwalenga...
Viongozi wa Kilifi Watishia Kuharamisha Miraa Kufuatia Hatua Ya Serikali Kupiga Marufuku ‘Mnazi’
Viongozi wa kaunti ya Kilifi wametishia kupiga marufuku Muguka, kufuatia marufuku ya hivi majuzi ya unywaji wa mvinyo unaojulikana kama ‘mnazi’ katika eneo hilo. Wakizungumza...
Tulipe Marupurupu Ya Maisha Magumu, Walimu Wa Chonyi, Kilifi Walalama
Walimu katika Kaunti Ndogo ya Chonyi, Kaunti ya Kilifi wameomba Bunge la Kitaifa kuingilia kati na kuitaka Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) kuwalipa marupurupu ya...
RUTO Azindua Barabara Ya Bamburi-Mwakirunge-Kaloleni
Rais William RUTO amezindua Barabara ya Bamburi-Mwakirunge-Kaloleni yenye urefu wa Kilomita 33. Makatibu wa Baraza la Mawaziri Kipchumba Murkomen, Salim Mvurya na Aisha Jumwa, Gavana...