Gachagua avunja ukimya kuhusu madai ya Malala kuasi DCP
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezungumzia tetesi zinazoongezeka kuhusu aliko Cleophas Malala, naibu kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP) na mmoja wa washirika...
Suluhu ndiye suluhu ya Tanzania
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshinda muhula wa kwanza kamili kwa asilimia 97.66% ya kura zilizopigwa katika uchaguzi wenye utata uliogubikwa na maandamano yenye...
Niffer amehamasisha Vurugu na kuharibu miundombinu- Polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumkamata na linamhoji Jenifer Bilikwiza Jovin almaarufu Niffer leo tarehe Oktoba 27, 2025 majira ya...
Kalonzo Afichua Mpango Wa Ruto na Raila Kuvuruga Uchaguzi Wa 2027
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amejitokeza na kufichua mipango ya Rais William Ruto na mwandani wake Raila Odinga ya kuvuruga uchaguzi ujao wa...
RAISI RUTO ARUSHIWA KIATU AKIWA ZIARA YA KAZI.
Serikali ya Kenya imeelezea tukio la kurushiwa kiatu kwa Rais William Ruto kama la “aibu” na lisilokubalika, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumapili. Video...
Naibu Rais, Rigathi Gachagua amekana madai ya kumtaka Rais William Ruto kumpa Ksh. Bilioni 8
Naibu Rais, Rigathi Gachagua amekana madai ya kumtaka Rais William Ruto kumpa Ksh. Bilioni 8 (takriban Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana...