???????? ?? ??????, ??????? ??í? ???á??? ?? ???? .
Ni mwanasoka wa kulipwa aliyestaafu ambaye alicheza kama mshambuliaji akijulikana sana katika mpira wa kombe la duniaAnachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji bora wa wakati wote....
Waziri mkuu wa Uingereza Liz Truss ajiuzulu baada ya wiki sita madarakani
Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ajiuzulu ghafla baada ya wiki sita za msukosuko, na kumfanya kuwa waziri mkuu aliyekaa muda mfupi zaidi katika historia...
SCALLY MUSIQ FT MLOLE CLASSIC : HATUKAI SANA BONGE LA NGIMA “PULIZA” IWAKE
Haya ndio maneno msanii Mlole Classic aliyoandika kupitia ukurasa wake wa facebook akiashiria kufanya kazi na Msanii Scally Music kwa Wimbo "Puliza" "HATUKAI SANA BONGE...
MH. BWIRE : Twiga Foods Wanaleta Ushindani Kwa Wakulima Wadogo Taveta
Mbunge wa Taveta Wakili John Bwire siku ya Jumatano, tarehe 19 Oct, aliweza kufanya mkutano wa ushirikiano na Twiga Foods, KWS, AFC, Serikali ya Kaunti,...
Kizaazaa Mahakama ya Malindi baada ya mwanaume wa umri wa miaka 68 kulilia kucheleweshwa kwa haki
Kizaazaa kiliweza kushuhudiwa katika mahakama ya Malindi siku leo tare 19 Oct, baada ya mwanamume anayekabiliwa na mashtaka ya ulaghai alipoanza kupiga kelele kwa madai...
Mchezaji Karim Benzema ashinda Ballon d’Or 2022
Karim Benzema ameshinda tuzo ya Ballon d'Or 2022 akiwa na wachezaji wanane kutoka Manchester waliotajwa kwenye 30 bora. Baada ya kuiongoza Real Madrid kutwaa mara...