Ndege ya Precision Air ATR 42-500 imepata ajali katika Ziwa Victoria Bukoba, Kagera
Ndege ya Precision Air ATR 42-500 imepata ajali katika Ziwa Victoria Bukoba, Kagera asubuhi hii ambapo Mashuhuda wanasema ajali hii imetokana na Ndege hiyo kupata...
UGANDA: ZAIDI YA WABUNGE 100 NA MAWAZIRI KUFUNDISHWA KISWAHILI KILA JUMATATU
Viongozi wote nchini Uganda lazima wawe na uwezo wa kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahili, wabunge wamedai. Wabunge katika kamati ya Mashauri ya Kigeni inayoongozwa na...
??????? ???????? ????????? ?? ?????? ????? ?? ?????
Hatua hiyo inatokana na Serikali ya Tunisia kudaiwa kuingilia masuala ya sokaOnyo hilo linakuja baada ya maoni ya mara kwa mara kutoka kwa Waziri wa...
Mwatate-Afueni Kwa Wazazi Wa Shule Ya Kenyatta
Ni afueni kwa wazazi na wanafunzi wa shule ya upili ya Kenyatta baada ya Mbunge wa eneo hilo Mhe. Peter Shake alipowakabidhi magodoro na Mashuka...
Mwadime Afanya Mkutano Na Washikadau Kuhusu Uchimbaji Wa Madini
Gavana wa TaitaTaveta, Mh. Andrew Mwadime amefanya mazungumzo na Shirika la Ushirikiano na Uratibu la Uturuki(TIKA), Oxfam nchini Kenya na maafisa wa Muungano wa Wanawake...
Jumuiya ya kaunti za Pwani : Magavana wakutana
Magavana wa pwani tarehe 25, Octoba waliungana eneo la pwani kwa ufunguzi rasmi wa Jengo la Ofisi ya Sekretarieti ya Go Blue JKP huko Nyali,...