Polisi Wawakamata Waandamanaji wa Mombasa Huku Maandamano ya Kupinga Utekaji nyara Yakiendelea
Polisi wameripotiwa kuwakamata waandamanaji kadhaa waliojiunga na maandamano ya kupinga utekaji nyara mjini Mombasa nchini Kenya. Huku maandamano yakianza katika maeneo kadhaa ya nchi baada...
Finali Ya Wakili Bwire Tournament Jumanne
Hatimaye tournament ya wakili Bwire Msimu wa 2024 itafikia mwisho pale msindi atapatikana kati ya Chala FC na Majengo FC. Mechi zitaanza kwa kutafuta mshindi...
Wasiwasi Wa Man City Kukosa Ligi Ya Mabingwa Msimu Ujao
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anasema klabu hiyo iko katika hatari ya kukosa nafasi ya kushiriki katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. City...
ARSENAL : Saka Kukosa Wiki Kadhaa Kutokana Na Jeraha
Klabu ya Arsenal imepata Pigo Kubwa baada Bukayo Saka kutarajiwa kuwa nje kwa wiki kadhaa akijiuguza jeraha lake la Misuli ya Paja alilolipata kwenye Mchezo...
Klabu ya Bayern Munich imetangaza kuipumzisha Jezi Namba #5
Klabu ya Bayern Munich iliamua kumuenzi gwiji wake na mchezaji wake wa kihistoria, Franz Beckenbauer, kwa namna ya pekee. Klabu hiyo imechukua uamuzi wa kutompa...
Yanga Yapokea Kichapo Dhidi Ya MC Alger
Yanga inapoteza mechi ya pili mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya MC Alger. FT : MC...