????? ???????, ???? ?????????, ????????? ?? ?????? ??? ?????? CHA BANDARI
David Wanyama, mwenye umri wa miaka 16, amepandishwa cheo kutoka Bandari Youth FC., na kujiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya Bandari.
MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU YA ENGLAND MWEZI WA DESEMBA
Mshambuliaji wa Bournemouth, Dominic Solanke amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu England. Solanke ameshinda tuzo hiyo baada ya kuifungia klabu yake...
MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU YA ENGLAND MWEZI WA DESEMBA
Mshambuliaji wa Bournemouth, Dominic Solanke amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu England. Solanke ameshinda tuzo hiyo baada ya kuifungia klabu yake hiyo magoli 6 ndani ya mwezi huo. Solanke (26) alikulia kwenye shule ya vipaji ya Chelsea kati ya mwaka 2014-2017, kabla ya kujiunga na Liverpool na baadae akatimkia Bournemouth mnamo…
Mtoto Ametelekezwa Katika Kituo Cha Soko Huko Taveta
Mapema Alhamisi asubuhi mtoto mchanga alipatikana akiwa ametelekezwa katika kituo cha Soko la Njukini eneo bunge la Taveta. Mtoto huyo wa kike, ambaye umri wake...
Gwiji wa soka wa Brazil Mario Zagallo afariki akiwa na umri wa miaka 92
BRAZIL: MARIO Zagallo, bingwa mara nne wa Kombe la Dunia akiwa mchezaji na kocha wa Brazil, amefariki akiwa na umri wa miaka 92. Mario Zagallo,...
Mwanahabari wa Mombasa, Fatma Rajab, Afariki Dunia
Mwanahabari wa Mombasa Fatma Rajab, mwenye umri wa miaka 27 amefariki dunia baada ya kuugua. Mwanahabari huyo alikuwa amepelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi cha...