Mary Moraa anyakua medali ya shaba katika mbio za mita 800
Mary Moraa ambaye alikuwa Mkenya pekee katika fainali ya mita 800 kwa wanawake aliibuka wa tatu na kunyakua medali ya shaba katika Olimpiki ya Paris...
Vinicius Junior ‘Vini Jr’ anastahili kushinda tuzo la ‘Ballon d’or’ 2024 – Karim Benzema
MCHEZAJI wa zamani wa Real Madrid Karim Benzema, amesema nyota wa timu ya taifa ya Brazili na Real Madrid Vinicius Junior ‘Vini Jr’ anastahili kushinda...
Reiss Nelson Ataka Uhamisho Msimu Wa Joto Kutoka Arsenal
Reiss Nelson ameifahamisha Arsenal kwamba anataka kutathmini chaguzi zinazowezekana za uhamisho msimu huu wa joto. Arsenal ilikataa mbinu za Januari na wangetafuta karibu pauni milioni...
Chelsea wamefungua mazungumzo RASMI juu ya kumsajili mshambuliaji wa Crystal Palace Michael Olise
Michael Olise Ni miongoni mwa walengwa wakuu wa Chelsea na kulingana na ripoti ya David Orstein leo mchana Chelsea iliomba ruhusa ya kuzungumza na wawakilishi...
Kylian Mbappe Kuvaa Jezi Namba 9 Huko Madrid
Kylian Mbappe amekamilisha uhamisho wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kutoka Paris Saint-Germain kwenda Real Madrid na kusaini mkataba wa miaka mitano na Los Blancos. Kylian...
ANASTAAFU AKIWA BINGWA WA UCL
Toni Kroos ametimiza assist 100 kwenye career yake ya soka. Leo ndio Mchezo wake wa mwisho kucheza ngazi za vilabu, hatacheza mchezo wowote Tena kwa...