Lamine Yamal Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi.
Staa wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania Lamine Yamal ameshinda tuzo ya Mchezaji bora Chipukizi (Kopa Trophy) Lamine (17) ameweka rekodi kadhaa...
Kipa Emiliano Martinez Ashinda Tena Golikipa Bora wa Dunia
Golikipa wa klabu ya Aston Villa raia wa Argentina, Emiliano Martinez (32) ameshinda tena tuzo ya Golikipa bora wa Dunia katika sherehe za ugawaji wa...
Libya Wanyang’anywa Pointi 3 Kufuzu AFCON Kisa Kuwatelekeza Wanigeria Airport
Shirikisho la Soka la Libya limeamriwa kulipa faini ya TZS milioni 136.3 baada ya kuwatendea visivyo timu ya taifa ya Nigeria (Super Eagles) walipowasili nchini...
Man United Kama Kawaida Yao, Wamepigwa Chelsea Shangwe, Arsenal Draw
Mashetani Wekundu wamepigika tena huku kocha , Eric Ten Hag akiendelea kukalia ‘kuti kavu’ wakati Chelsea ikiitandika Newcastle United 2-1 katika dimba la Stamford Bridge....
Timu ya Taifa Tanzania Under 20 Yachukua Ubingwa wa CECAFA, Waifunga Kenya
Timu ya Taifa Tanzania imewalaza Kenya bao 2-1, katika Uwanja wa KMC, Dar es Salaam na kuchukua ubingwa wa CECAFA. Timu ya Tanzania ya U20...
Hussein Mohammed atawania kiti cha urais cha FKF huku McDonald Mariga akiwa mgombea mwenza wake!
Kiungo wa kati wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Kenya, McDonald Mariga, anatarajia kutangazwa rasmi leo Ijumaa kama mgombea mwenza wa...