Karim Mandonga Apokea Makonde Kutoka Kwa Daniel Wanyonyi Katika Marudio Ya Ndondi Jijini Nairobi
Mkenya Daniel Wanyonyi alimshinda Mtanzania Karim Mandonga katika pambano lao la marudiano la ndondi lililofanyika jijini Nairobi hapo jana. Wanyonyi mwenye umri wa miaka 40,...
Romano: Pierre Aubameyang atajiunga na Olympique Marseille kwa mkataba wa bure kutoka Chelsea, imekubaliwa
Pierre Aubameyang atajiunga na Olympique Marseille kwa mkataba wa bure kutoka Chelsea, imekubaliwa Auba atasaini mkataba wa miaka mitatu hadi Juni 2026 - Chelsea ilimruhusu...
Harry Maguire: Beki wa Manchester United avuliwa unahodha wa klabu
Beki wa Manchester United Harry Maguire ambaye amekuwa nahodha wa timu hiyo kwa Zaidi ya miaka mitatu amedhibitisha kupokonywa kitambaa cha unahodha katika mabadiliko mapya...
Viwango vya UEFA Ligi 8 bora Duniani 2022-23
Ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1 imetolewa kwenye ligi bora 5 barani ulaya. UEFA wametoa viwango vipya vya ligi bora barani Ulaya. Viwango hivyo vimepatikana...
Kijana wa miaka 9 Mkenya Aymen Onyango anajiunga na wababe wa EPL Manchester City
Aliekuwa Mchezaji wa Kimataifa wa Raga wa Kenya, Lucas Onyango, amekuwa Baba mwenye furaha baada ya Mtoto wake Aymen Onyango kusajiliwa na Klabu ya Manchester...