PICHA : MKE WA RONALDO AWATOA UDENDA VIJEBA MITANDAONI
Mke wa Ronaldo awatoa udenda mafans mtandaoni baada ya kuvaa jezi za timu ya mume wake ya Al Nassr na kupendeza kupita kiasi kutokana na...
Harambee Stars Yawika Qatar FULL TIME: Qatar 1-2 Kenya
Harambee stars iliilaza wenyeji wa Kombe la Dunia 2022 Qatar mabao 2-1 Alhamisi jioni katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika uwanja wa Al Janoub mjini...
YANGA SC YAFUNGIWA KUSAJILI
Klabu ya Yanga imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana raia wa Burundi. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)...
Kibet Aldrine Kipchirchir wa St Anthony Boy’s Kitale kujiunga na Nastic Sports Academy huko Barcelona, Uhispania.
Amos Emmanuel Wanjala (beki wa kati) na Kibet Aldrine Kipchirchir wanaelekea Nastic Soccer Academy (NAS) mjini Tarragona, Uhispania. Alvin Kirigano Kasavuli (katikati ya 8/10) anajiunga...
Karim Mandonga Apokea Makonde Kutoka Kwa Daniel Wanyonyi Katika Marudio Ya Ndondi Jijini Nairobi
Mkenya Daniel Wanyonyi alimshinda Mtanzania Karim Mandonga katika pambano lao la marudiano la ndondi lililofanyika jijini Nairobi hapo jana. Wanyonyi mwenye umri wa miaka 40,...