Simba Queens Yapata saini ya winga Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir kwa mkataba wa miaka miwili.
Timu ya Simba Queens imefanikiwa kupata saini ya winga Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir kwa mkataba wa miaka miwili. Diakiese raia wa DRC...
Mamelodi wabeba Ubingwa African Football League
Klabu ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns, imetwaa ubingwa wa kombe la Afrika ‘AFL’ kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya klabu ya Wydad Casablanca...
Man United Yawinda Kumsajili Mshambuliaji Wa PSG Kylian Mbappe
Man United ni miongoni mwa timu za Ligi ya Premia zinazomfuatilia Kylian Mbappe baada ya mabadiliko ya hivi punde katika mbio za kuwania saini yake. Ripoti kutoka...
SIMBA YAMFUKUZA KAZI KOCHA ROBERTINHO, KISA 5G ZA YANGA SC
Klabu ya ligi kuu ya soka nchini Tanzania, Simba SC, imemtimua kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho) siku mbili tu baada ya...
Bruno Fernandes Anatakiwa Saudi Arabia Majira Ya Joto
Inaripotiwa kuwa klabu mbalimbali kutoka Nchini Saudi Arabia, zimevutiwa na nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, na inaelezwa kuwa wawakilishi kutoka PIF, “wamiliki wa klabu...
Manchester United Kuingia Sokoni Januari Kusaka Mshambuliaji Wa Kumsaidia Rasmus Hojlund
Manchester United wanapanga kuongeza mshambuliaji wa kumsaidia fowadi wao Rasmus Hojlund, mwezi Januari baada ya kuibuka wasiwasi juu ya maendeleo ya mchezaji huyo aliyepewa majukumu...