Arsenal Waeka Akiba Ya Mabao
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta anafahamu wazi kwamba kikosi chake ni lazima kifunge mabao ya kutosha kwa sababu ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu...
NYANDA WA KWANZA KUPANGUA MIKWAJU NNE YA PELNATI KWENYE AFCON
Baada ya kupangua penalti nne (4) na kuivusha Afrika Kusini kwenda hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika 2023, nyanda wa...
Nahodha Wa Cameroon Vincent Aboubakar Arejea Kikosini
Nahodha wa timu ya Taifa ya Cameroon, Vincent Aboubakar ameanza mazoezi katika kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon kwa ajili ya kujiandaa na mechi...
OMAR BERRADA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MANCHESTER UNITED
Man Utd imemteua aliyekuwa CEO wa Man City, Omar Berrada na kumfanya kuwa mtendaji wao mkuu mpya; Berrada anamrithi Richard Arnold aliyebwaga manyanga baada ujio...
𝐃𝐀𝐕𝐈𝐃 𝐖𝐀𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀, 𝐁𝐄𝐊𝐈 𝐂𝐇𝐈𝐏𝐔𝐊𝐈𝐙𝐈, 𝐀𝐌𝐄𝐉𝐈𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐈𝐊𝐎𝐒𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐙𝐀 CHA BANDARI
David Wanyama, mwenye umri wa miaka 16, amepandishwa cheo kutoka Bandari Youth FC., na kujiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya Bandari.
MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU YA ENGLAND MWEZI WA DESEMBA
Mshambuliaji wa Bournemouth, Dominic Solanke amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu England. Solanke ameshinda tuzo hiyo baada ya kuifungia klabu yake...