Marekani yasitisha chanjo ya chikungunya baada ya ripoti za madhara makubwa
Marekani imesitisha leseni ya chanjo ya Ixchiq dhidi ya virusi vya chikungunya kufuatia ripoti za madhara makubwa.Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Valneva, kampuni ya...
Africa Mashariki Imezindua Mfumo Wa Dhamana wa EACBond
Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC leo imezindua 𝑬𝑨𝑪𝑩𝒐𝒏𝒅, dhamana ya kikanda ya udhamini wa biashara. Hatua hiyo, inachukua nafasi ya hitaji la dhamana nyingi za...
Samboja Ateuliwa Mwenyekiti Wa Pareto
Rais William Ruto amemteua aliyekuwa Gavana wa Taita Taveta Granton Samboja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Kuchakata Pareto nchini Kenya. Uteuzi...
Fukwe Zote za Umma Mombasa Zimefungwa
Fuo zote za umma jijini Mombasa zitafungwa kufuatia agizo la Gavana wa Mombasa Abdulswamad Sherrif Nassir.Kupitia taarifa iliyotolewa Ijumaa, Mei 23, Nassir aliamuru kufungwa kwa...
BAADHI YA WATU WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI ILIYOHUSISHA GARI LA NAEKANA
Habari za kuhuzinisha baada ya baadhi ya watu kupoteza maisha katika ajali iliyotokea eneo la Malili katika barabara kuu ya Nairobi Mombasa. Gari hilo la...
Sudan Yavunja Uhusiano Na UAE
Sudan imetangaza kuwa itavunja uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya jeshi kuituhumu UAE kuunga mkono kikosi pinzani cha Rapid Support Forces...