Wanajeshi wa China wasema ‘wamejiandaa kwa vita’ katika zoezi kubwa la kijeshi
Wakati dunia ikiwa bize na vita huko Ukraine na mashariki ya kati, Taiwan na China nao wanaendelea kutunishiana misuli vikali ambapo mapema mwezi huu China...
Imam Khamenei alimtunuku “Nishani ya Fath” Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Leo kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khemenei amemvisha nishani ya heshima kamanda mkuu wa jeshi la anga la nchi hiyo Brigedia Jenerali Amir Ali...
B Classic Apoteza Umiliki Wa YouTube Channel Kwa Management
Msanii Dennis Manja, jina la stage B Classic kwa mara nyingine tena amepoteza umiliki wa YouTube channel yake, ikichukuliwa na management. Msanii huyo kwa mara...
Kamanda mkuu wa Hezbollah auawa katika shambulizi la Israel huko Beirut
BEIRUT: KUNDI la Hezbollah la Lebanon limethibitisha kuuawa kwa wanachama wake 16 wakiwemo kiongozi mwandamzi Ibrahim Aqil na kamanda mwingine Ahmed Wahbi katika shambulio la...
Urusi : Rais Wa Urusi, Vladimir Putin Amuunga Mkono Kamala Harris’
Urusi inamuunga mkono Kamala Harris': Historia ya Putin ya 'maidhinisho ya uchaguzi wa Marekani Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema baada ya Rais wa sasa...
Israel yajibu mashambulizi bandari ya Yemen baada ya waasi wa Houthi kushambulia Tel Aviv
Baada ya waasi wa Houthis kushambulia ndani ya Israel kwa makombora, Israel ilijibu uchokozi huo kwa shambulio moja kubwa na baya lililoangamiza kabisa bandari hiyo...