DIAMOND : SABABU ZA KUTOMILIKI PRIVATE JET.

Share this story

Boss wa Wasafi, Diamond Platinumz amefunguka kutapeliwa zaidi ya Billion Nne.Kupitia mahojiano yake na wanahabari. Diamond amesema kwamba mipango yake ilivurugika baada ya kutapeliwa. “Mimi nilikuwa nimenunua [ndege] kubwa ya kwangu ila wakaniletea ujanja wakaniingiza mjini kidogo wakanipiga kama bilioni 4 na kitu. Polisi wanafahamu na inaendelea kufuatiliwa na serikali wananisaidia kuona haki yangu naipata…


Share this story