DIAMOND NA RAYVANNY WALIPANGA KUCHUKUA URAIA WA KENYA
Mwanamuziki mashuhuri wa Tanzania Rayvanny amefichua jinsi alivyokaribia kubadili uraia wa Tanzania na kuhamia Kenya. pamoja na bosi wake wa zamani, Diamond Platnumz baada ya...
WASANII WEKENI NJAA KWENYE MARKETING KAMA MNAVYOWEKA STUDIO HITS NYINGI ZIMEKOSA PROMO- SALLAM
Meneja wa Diamond Platnumz na WCB ambaye ni mzoefu kwenye tasnia ya Masoko na Biashara ya muziki amewashauru wasanii kuweka bidii zaidi kusukuma kazi zao...
Rayvany Kaweka Album Ya Harmonize #VisitBongo Badala Ya Yakutoa Nyimbo Zake 5 Kama Alivyoahidi
Rayvany alikuwa ameahidi kutoa nyimbo zake 5 siku ya jana ila hakufanya hivyo. Alichokifanya ni kueka Instastory Album ya Harmonize #visitbongo badala yake kutoa nyimbo...
Alichosema Rayvanny Baada Ya Kufika Kwa Harmonize Kuchukua Tuzo Alilobebewa Na Harmonize Kutoka Marekani.
Baada ya Harmonize kumchukulia Rayvanny tuzo kutoka USA na kumwambia aifuate Aiport kesho au aifuate Konde Village, hatimaye Rayvany ameendea tuzo nyumbani kwa Harmonize. Rayvanny...
WASANII WATAKAO PERFORM KWENYE ZAMA ZAO FESTIVAL WAMESAHAU LYRICS ZAO- KIDIS
Msanii kutoka pwani Kidis The Jembe amesema kuwa wasanii wengi walioalikwa kutumbuiza kwenye zama zao festival ni wakongwe ambao hawajafanya maonyesho kwa Zaidi ya miaka...
Harmonize Alimchukulia Rayvany Tuzo Kutoka USA, Ampa Maagizo Atakavyo Ipata
Msani Harmonize Amemtaka Msani Mwezake Rayvanny kuja kuchukua Tuzo yake ya #AEAUSA 2023 Ambapo harmonize_tz limchukulia Tuzo hio kwa niaba ya Rayvanny Huku akimtaka afike...