Mama wa Mwanamuziki Mheshimiwa Temba Afariki Dunia
Mama mzazi wa Msanii Mh. Temba amefariki dunia leo Oktoba 25, 2024 ambapo Msanii huyo amethibitisha kupitia ukurasa wake wa kijamii. Kupitia Ukurasa wake wa...
Idris Elba Afunguka Tena Nia Yake ya Kuja Kuishi Afrika
Mwigizaji nyota wa Filamu, Idris Elba amesema anatarajia kuhamia Afrika katika kipindi cha Miaka 10 ijayo na huenda akaishi katika maeneo ya Zanzibar, Accra nchini...
Rayvanny Amemjibu Baddest47 Kuhusu Kumuibia Ngoma Ya “SENSEMA”
Baada ya msanii Baddest47 kulalamika kuwa kaibiwa ngoma ya "SENSEMA"...Rayvanny kupitia Insta story amemjibu Baddest47 kwa kuandika haya.. To my home Boy baddest unajua vile...
Harambee Stars Kucheza Mechi Zake Ugenini
Timu ya Taifa ya Harambee Stars itacheza mechi zake nje ya Kenya kufuatia viwanja nchini humo kutokidhi vigezo vilivyowekwa na CAF. Kenya inatarajia kucheza michezo...
Mchekeshaji wa Tanzania Aliyetamba Kenya Kwa Msemo Wa ‘Kata Simu Tupo Site’ Afariki Dunia
Msanii mkongwe wa vichekesho nchini Tanzania Umar Iahbedi Issa, almaarufu Mzee Mjegeje, ambaye anatambulika mitandaoni nchini Kenya kwa kauli mbiu yake ya 'Kata simu tupo...
ALIKIBA ATUPA JIWE “HII SIO MEDIA YA FAMILIA”
Msanii wa Bong flava Ali Saleh Kiba almarufu kama Ali kiba Baada ya uzinduzi wa Radio yake kwa jina #CrownFm akiwa jukwaani akiimba alisema kuwa...