Sudan Yavunja Uhusiano Na UAE
Sudan imetangaza kuwa itavunja uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya jeshi kuituhumu UAE kuunga mkono kikosi pinzani cha Rapid Support Forces...
Nandy Aachana Na Yammy
Nandy amethibitisha ya kuwa Yammy hatokuwa tena msanii wake chini ya Label ya THE AFRICAN PRINCES kwa makubaliano ya Kirafiki baina ya pande mbili ....
RAISI RUTO ARUSHIWA KIATU AKIWA ZIARA YA KAZI.
Serikali ya Kenya imeelezea tukio la kurushiwa kiatu kwa Rais William Ruto kama la “aibu” na lisilokubalika, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumapili. Video...
Mombasa Yakumbwa na Tetemeko Kuu la Ardhi
Kenya ilikumbwa na tetemeko la ardhi la wastani siku ya Jumapili, na kusajili ukubwa wa 4.5 karibu na miji yake ya pwani na jiji la...
AUNTY: NILIISHI MAISHA MACHAFU NIPATE KIKI
Nyota wa filamu nchini Gwantwa Ezekiel (Aunty Ezekiel) amefunguka kuwa kipindi cha nyuma kabla ya kupata watoto alikuwa akijiachia sana kwa lengo la kutafuta kiki...
Mechi zote za Serie A za leo zimeahirishwa kufuatia kuaga kwa Papa Francis.
Kufuatia kifo cha Papa Francis huko Rome, Serie A wamethibitisha kuasimamishwa kwa michezo ya leo ya ligi katika Serie A na Primavera 1. Tarehe ya...