Wanamziki Wamuomboleza Promota Musa Babaz
Wanamziki wa East Afrika wanaendelea kutuma risala za rambi rambi kwa familia ya Promota wa Muziki Musa Babaz ambaye aliaga dunia siku ya jana. Musa...
ANERLISA AMUUMBUA BEN POL
Mwanadada Anerlisa kutoka Kenya amemuumbua Ben Pol (Aliyekuwa mume wake) baada ya kuvujisha meseji za msanii huyo akimbembeleza na kuelezea alivyomkumbuka. Anerlisa Muigai amemuumbua aliyekuwa...
Ngumi moja pekee la Daniel Wanyonyi lamyamazisha Karim Madonga “Mtu Kazi” pale KICC.
Bondia Mtanzania aliyejipatia umaarufu kupitia vitisho vya kabla ya Pambano, Karim Mandonga amepigwa kwa KO na bondia Daniel Wanyonyi kwenye pambano lililofanyika ukumbi wa KICC...