BASATA lawafungia Whozu, Billnass Na Mbosso Na Kuwapiga Faini Kisa Wimbo Wao ‘Ameyatimba’.
Wasanii Mbosso, Whozu na Billnass wametozwa faini ya milioni tatu kila mmoja na kufungiwa kutokujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo November...