PSG Mbrazil Neymar Jr na mpenzi wake Bruna Biancardi wazua gumzo mtandaoni
Supa Star wa klabu ya PSG Mbrazil Neymar Jr na mpenzi wake Bruna Biancardi wamezua gumzo mtandaoni mara baada ya kuchapisha picha ya pamoja wakionyesha...
KITENGE ARUDI WASAFI AKIWA NA GERALD HANDO.
Diamond hataki mchezo kwani kapambana kuhakikisha Mtangazaji nguli wa vipindi vya michezo Tanzania Maulid Kitenge anarejea Wasafi Media akitokea EFM ambapo safari hii amerejea akiwa...
“FAMILIA INA WATOTO KIBAO NIANDIKE MALI ZANGU JINA LA MAMA, SIFANYI UJINGA WA HAKIMI” – BABALEVO
Mwanamitandao na msanii BabaLevo ameibuka na kuwashangaa wanaume wanaomuiga mchezaji Hakimi ambaye anatrend kwa kumuandikisha mama yake mzazi mali zake zote na si mkewe ambapo...
Uganda’s Ghetto Kids break the Golden Buzzer record on Britain Got Talent
Ugandan Ghetto Kids made history at Britain’s Got talent show after receiving the Golden Buzzer in the middle of their performance. Bruno Tonioli, a new...
Hakuna Wimbo Umeniingizia Hela Nyingi Kushinda Wimbo Wa “Nakupenda” Jay Melody
Star wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Jay Melody amesema mpaka sasa wimbo wake wa "Nakupenda" umemuingizia zaidi ya Shilingi mlioni (200) za Kitanzania na...
“NAENDA KAMA HAKIMI” MARIOO
Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Marioo amepost picha akiwa na Paula na kuandika "Naenda Kama Hakimi" Unadhani ana maana gani?