BAADHI YA WATU WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI ILIYOHUSISHA GARI LA NAEKANA

Share this story

Habari za kuhuzinisha baada ya baadhi ya watu kupoteza maisha katika ajali iliyotokea eneo la Malili katika barabara kuu ya Nairobi Mombasa.

Gari hilo la abiria la Naekana lilikuwa limetoka Taveta kuelekea Nairobi lilipokumbana na ajali hiyo masaa ya alfajiri asubuhi na kusababisha vifo. Manusura walikimbishwa hosipitali kwa matibabu zaidi

PICHA


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Kenya, Finland Sign MoUs On Dialogue, Peace During President Stubb’s Historic Visit
Next post NGOMA YA “GOD DESIGN” YA JUX YATIKISA TRENDING NO: 1 NIGERIA