RASMI : Jack Grealish Atua Everton
Everton wamemtambulisha Jack Grealish kama mchezaji wao mpya akijiunga kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu. Mkataba huo pia unajumuisha kipengele cha kumnunua mchezaji huyo kwa dau la ÂŁ50 milioni mwishoni mwa msimu.
We have completed the loan signing of Jack Grealish from Manchester City. 📝 pic.twitter.com/MXlYV7LMWb
— Everton (@Everton) August 12, 2025