Mbunge wa Starehe Charles Njagua Kanyi almarufu kama Jaguar ajiunga na UDA ya Ruto
Mbunge wa Starehe, Charles Njagua Kanyi, almaarufu, Jaguar, amejiunga na chama cha United Democratic Alliance (UDA). Taarifa za mbunge huyo za kujiunga na chama za Ruto iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Twitter wa chama hicho kikimkaribisha mwimbaji huyo aliyegeuka kuwa mwanasiasa kwa chama cha UDA.
Jaguar, ambaye ni mshirika wa karibu wa Rais Uhuru Kenyatta, ndiye wa hivi punde zaidi kujiunga na chama cha Ruto baada ya mwanahabari Njogu Wa Njoroge ambaye alizinduliwa Ijumaa, Januari 21 na watachuana na Simon Mbugua katika Uteuzi wa tiketi ya Chama..
Welcome to UDA – Kazi ni Kazi, Starehe MP, Charles Njagua Kanyi (Jaguar). Hustler Nation welcomes you Sir.
— United Democratic Alliance (@UDAPartyKe) January 24, 2022
Jaguar was received by H.E the Deputy President William Ruto today, Monday morning.#HustlerNation pic.twitter.com/s5kyUCkt1O