Morocco Waandika Historia Mpya Kombe la Dunia ๐ฒ๐ฆ๐ฅ
Morocco wameendelea kuweka historia kubwa kwenye soka la dunia baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2026. Kwa mafanikio hayo, Morocco...
Vozinha Aacha Historia Kombe la Dunia Licha ya Cape Verde Kutolewa ๐จ๐ป๐งค๐ฅ
Ingawa Cape Verde wameaga mashindano, golikipa wao mkongwe Vozinha ameondoka akiwa mmoja wa mastaa waliotikisa zaidi Kombe la Dunia mwaka huu. Maonyesho yake bora langoni...
Cristiano Ronaldo Akaribia Kuaga Timu ya Taifa ya Ureno Baada ya Miaka 23
Safari ya miaka 23 ya Cristiano Ronaldo ndani ya timu ya taifa ya Ureno sasa inaonekana kuelekea ukingoni, baada ya dada yake, Katia Aveiro, kuthibitisha...
Ronaldo Aizungumzia Mechi Dhidi ya Hispania
Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo, amesema wanafahamu ugumu wa mchezo wao dhidi ya Hispania huku akiitaja timu hiyo kama moja ya zinazopewa nafasi kubwa ya...
Kenya Evacuates Citizens from South Africa Amid Rising Xenophobic Attacks
The Kenyan government has evacuated 151 citizens from South Africa following escalating anti-migrant unrest and intimidation targeting foreign nationals. The returnees arrived at Jomo Kenyatta...
Pape Gueye Atangaza Kupumzika Timu ya Taifa ya Senegal Baada ya Kuondolewa Kombe la Dunia
Kiungo wa Senegal, Pape Gueye, hakuweza kuficha maumivu na hasira zake baada ya timu hiyo kushindwa kufuzu hatua ya 16 bora kwenye Kombe la Dunia...