WASANII WEKENI NJAA KWENYE MARKETING KAMA MNAVYOWEKA STUDIO HITS NYINGI ZIMEKOSA PROMO- SALLAM
Meneja wa Diamond Platnumz na WCB ambaye ni mzoefu kwenye tasnia ya Masoko na Biashara ya muziki amewashauru wasanii kuweka bidii zaidi kusukuma kazi zao kupitia promo na masoko badala ya kuweka nguvu yote studio.
“Kupata Hit ni jambo moja na kuifanyia promo Hit ni jambo lingine, Hivi karibuni kumetokea na Hits nyingi lakini zimekosa promo, Wasanii wekeni njaa kwenye marketing kama mnavyoweka kwenye Studio.”