Waamuzi 36 “Referees” walio kwenda Qatar kusimamia michuano ya Kombe la dunia, Orodha hii hapa.
ULAYA “EUROPE”
Stephanie Frappart, kwa upande wake, atakuwa mwanamke wa kwanza kutoka Ulaya kusimamia machuano hiyo
1: Ivan Barton
2: Stephanie Frappart
3: Istvan Kovacs
4: Danny Makkelie
5: Szymon Marciniak
6: Antonio Mateu
7: Michael Oliver
8: Daniele Orsato
9: Daniel Siebert
10: Anthony Taylor
11: Clement Turpin
12: Slavko Vincic
Waamuzi wa CAF kwenye Kombe la Dunia.
AFRIKA “AFRICA”
Salima Mukansanga, ambaye alikuwa mwamuzi wa kwanza wa kike kuchezesha fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mapema mwaka huu anaelekea Qatar.
13: Bakary Gassama
14: Mustapha Ghorbal
15: Victor Gomes
16: Salima Mukansanga
17: Maguette Ndiaye
18: Janny Sikazwe
Waamuzi wa CONCACAF kwenye Kombe la Dunia
NORTH AMERICA AND CENTRAL AMERICA “AMERIKA KASKAZINI NA AMERIKA YA KATI”
19: Ismail Elfath
20: Mario Escobar
21: Said Martinez
22: Cesar Ramos
Waamuzi wa CONMEBOL kwenye Kombe la Dunia
SOUTH AMERICA “AMERIKA KUSINI”
23: Raphael Claus
24: Andres Matias Matonte Cabrera
25: Kevin Ortega
26: Fernando Rapallini
27: Wilton Sampaio
28: Facundo Tello
29: Jesus Valenzuela
Muamuzi wa Oceania Football Confederation “OFC” kwenye Kombe la Dunia.
Shirikisho la Soka la Oceania ni mojawapo ya mashirikisho sita ya mabara ya vyama vya soka vya kimataifa
OFC “AUSTRALIA”
30:Matthew Conger
Waamuzi wa AFC kwenye Kombe la Dunia
Shirikisho la Soka la Asia “AFC”
Abdulrahman Al Jassim atakuwa mwamuzi wa kwanza kutoka Qatar katika historia ya mashindano ya Kombe la Dunia.
31: Abdulrahman Al Jassim
32: Chris Beath
33: Alireza Faghani
34: Ning Ma
35: Mohammed Abdulla Mohammed
36: Yoshimi Yamashita .
VAR itatumika kwa mara ya pili katika historia ya Kombe la Dunia msimu huu wa baridi. Teknolojia hiyo ilitumika kwa mara ya kwanza katika michuano hii nchini Urusi miaka minne iliyopita