Saudi Arabia imelaani vikali mashambulizi ya Iran kulenga kambi za Marekani katika mataifa ya Qatar, Bahrain, Kuwait na UAE
Saudi Arabia imelaani vikali mashambulizi ya Iran kulenga kambi za Marekani katika mataifa ya Qatar, Bahrain, Kuwait na UAE Shirika la habari la Al Jazeera limeripoti
Wakati huo huo shirika la habari la Marekani Fox News limeripoti kwamba Marekani na Israel zimegawana mpango kazi katika vita dhidi ya Iran ambapo Israel inalenga watawala wakati Marekani inalenga miundombinu ya kimkakati

Iran imefanikiwa kulenga kambi ya Marekani iliyoko nchini Bahrain wakati Marekani na Israel zikiendelea na operesheni kali za anga ndani ya Iran
Saudi Arabia ni mshirika mkubwa wa Marekani miongoni mwa mataifa ya kiarabu na Marekani ina makambi makubwa nchini humo pia
