Rajab Abdul Kahali, almaarufu Harmonize Atiwa Mbaroni jijini Naironi kwa madai ya kujipatia pesa kwa njia ya uwongo.

Share this story

Mkurugenzi wa klabu ya Nairobi anataka mwimbaji wa Tanzania Harmonize kurejesha pesa ambazo wateja wake walilipa kwa ajili ya tamasha lililofanyika Jumamosi usiku.

Mkurugenzi wa klabu hiyo, Joe Barsil anadai kuwa Harmonize aliingia jukwaani chini ya dakika moja na kuondoka.

Habari za kuaminika zinasema kuwa nyota huyo wa muziki alikamatwa kuhusiana na kashfa iliyokuwa ikiendelea ya kudaiwa kukosa kuonekana katika vilabu kadhaa jijini Nairobi licha ya kupokea pesa kwa ajili ya kuburudisha mashabiki


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Uhuru Increases Kenyan workers Minimum Wage by 12%
Next post JSC approves removal of Justice Chitembwe over gross misconduct.